Makapuku Forum

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]akaa mtu kabisa anasifia mwingine laivu laivu nami naona afu nirudii Sina moyo wa chuma Mimi [emoji135]

Sent using Jamii Forums mobile app

Pole dear. Maneno uliyoyasikia hayakutoka kwangu.
Huyu anayesemwa ni dada yangu sio wa kiukoo.

Kuna watu wanataka kutugombanisha na ukiniacha utawapa ushindi mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…