Hahahaha umemsahau acha buana, sema mi simkumbuki jina ningekutajia
Sent using Jamii Forums mobile app
Shunie ake nani tena jamaniii... Ushampata mara hiiPiga kelele kwa shunie akeee weweeeeeh
Haha haki tena simkumbukiEbu ukikumbuka mtaje bwana
Sent from my iPhone using Tapatalk
Asante kwa salaam.. ngoja waje wakujibu wenyeji me mgeni mgeni
Hahahaha aiseeHahhaaha tena leo niko sober kabisa baba wawili
Dah mambo ni fire naonaPiga kelele kwa shunie akeee weweeeeeh
Uzima upo jirani, za kuadimika?
Msalimie binamu yangu
Haya jambo la kheri, haha nipo jiraniUzima upo jirani, za kuadimika?
ngoja niongeze juhudi jirani
Hahahaha aisee
Dah mambo ni fire naona
Mjombaaa wewe si ndo mjomba na mjombaaa si wewe auView attachment 1354047
Anko Lee swalama alhaj wangu? Safari imefikia wapi mjomba.
Au ningendako alitokea kuokoa jahazi?
ngoja niongeze juhudi jirani
Mtoto mlito asiione hii post
Wacha weeeh ngoja na mie nitafute wangu humu manaa kila mtu ako na mbebez wake