amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Ishaingia mbona Tani sijui Mil 12Suruhisho ni sukari ya nje tuuuuu
(ni MTAZAMO tu)
Shem kukutenga wewe sawa na kung'oa jino la mbele, labda wewe uanzeShem cku hizi unantenga
Na zile mambo ziliishia wapi tena???
Au nguvu ya soda![]()
![]()
For whatMmmh
Mkuu amekuwa braza k, unazuia sukari bila tahadhari wala kujiridhisha kuwa akiba inatosha au lah, leo sjanywa chaiSuruhisho ni sukari ya nje tuuuuu
(ni MTAZAMO tu)
Basi sawaIshaingia mbona Tani sijui Mil 12
Nimesoma gazetini leo.....
.........

Ifike wakat viongoz wetu wawe na maaumizi ya kiuchumi na si kisiasaMkuu amekuwa braza k, unazuia sukari bila tahadhari wala kujiridhisha kuwa akiba inatosha au lah, leo sjanywa chai
Wapewe adhabu ya kuitumia tu kunywea chai na vitumnua mpaka iishe bila kuuzwaBasi sawa
Asa sijui waliohifadhi aka kuficha sukari watachukuliwa hatua gani![]()
Wapewe adhabu ya kuitumia tu kunywea chai na vitumnua mpaka iishe bila kuuzwa
![]()
![]()
![]()
..........

amezeshwe memory card tuMgumu kuelewa, mwepesi kusahau
Jaman mumuache pupil wangu.....amezeshwe memory card tu
Raisi wetu awe msikivu kwa watalamu wa uchimi, leo hii tunajipanga foleni kununua sukari ni aibu na dalili mbaya ya uchumi na ustawi wa jamii, maamuzi yoyote anayofanya azingatie ushauri wa kitaaluma husika.Ifike wakat viongoz wetu wawe na maaumizi ya kiuchumi na si kisiasa
Acha ubahili mpareeeeeHiiiii![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Utalala kwakeVipi Tena?? Hiyo ni nauli tu bado accommodation