Ni kweli bro,kikubwa uhai,mengine yapo tuTwakshukuru Mungu japo mambo si mepesi broh..
Shukrani,na kwako pia dadaOooppsss
Mlale salama
Asante jamani kakaShukrani,na kwako pia dada
@Shunie. Nipepesee macho honey
Ukiona mtu mzima analia mbele za watu ujue kuna jambo
Hatujambo wewe jeHamjambo..
Unasemaaaa@Shunie. Nipepesee macho honey
Hatujambo habari yakoHamjambo hapa
Tuko pouwah cheupeHatujambo wewe je
Naam hakika. Utajiri pekee ni uhai na afya brohNi kweli bro,kikubwa uhai,mengine yapo tu
Jamaa umenirithi...@Shunie. Nipepesee macho honey
Huko kwenu mvua pia imenyeshaTuko pouwah cheupe
Shunie knifeHuko kwenu mvua pia imenyesha
Abeeh mjeda uko poa weweShunie knife