Makapuku Forum

Ukitoa uhusika wao katika "Empire" katika maisha halisi, Ni Mke Na Mume halali kabisa kwa Ndoa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na kwenye Empire ni mtu na mama yake
Wala bongo hakuna wasanii walahi.. Waandaaji wa hii series walijua kujipanga. Mm navutiwa zaidi na michano ya Hakeem na Jamal anavyopiga vocal...
Daah hii series sijui nilichelewa wapi kuiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…