Sawa binamu, naona hauchezi mbali na fursa.. Kila la kheri😁.....binamu, naona umeanza majivuno baada ya kupata connection. Sasa nakuomba tu kitu kimoja, nielekeze huko niende na nitahakikisha napita congo kuchukua vumbi ndo niende huko, natembelea kila nyumba utasema nafanya sensa ya serikali ya mtaa
Hahahaha jibu limepatikana?Akikujibu nitag binamu
Ebu nenda ulete mrejesho jamaniHuku kunanifaa kwenda kutembea
Vumbi la congo hilo binamu eenh.....binamu, naona umeanza majivuno baada ya kupata connection. Sasa nakuomba tu kitu kimoja, nielekeze huko niende na nitahakikisha napita congo kuchukua vumbi ndo niende huko, natembelea kila nyumba utasema nafanya sensa ya serikali ya mtaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Binamu nimecheka sana mtoto mlito binamu maana yake mtoto flani hivi mzuri flani ila mimi sio mzuri binamu ila napenda kujiita hivyo tuAsante Shunie kwa Je Wajua.
Sidhani kama nimelewa ila nataka kujua maana ya mtoto Mlito, je inamaanisha mtoto fundi au chapati na karanga!?
Hahahah kijana mpole nakuona mimiKijana mpole
Nimeshajibu baba wawili kijana mpoleAkikujibu nitag binamu
Nimeshajibu we mzee kwahiyo na wewe ulikuwa unasubiri jibu etiHahahaha jibu limepatikana?
Nimeshajibu we mzee kwahiyo na wewe ulikuwa unasubiri jibu eti
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Binamu nimecheka sana mtoto mlito binamu maana yake mtoto flani hivi mzuri flani ila mimi sio mzuri binamu ila napenda kujiita hivyo tu
Haha ankoo kumbe unafatilia na weweHahahaha jibu limepatikana?
Kwa hyo mimba ya mtoto wa kike ikitungwa ndio kusema mwanamke hakufikishwa kileleni?em nieleweshe hapo
Sawa sawa mtoto mlito haha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Binamu nimecheka sana mtoto mlito binamu maana yake mtoto flani hivi mzuri flani ila mimi sio mzuri binamu ila napenda kujiita hivyo tu
Nmeona mtoto mlitoHahahah kijana mpole nakuona mimi
Abeeeh ElyShunie
Ebu tia neno basi achana na migunoMmmmh