Nambie we bibie mtoto mlitoWe mzee bwana
Nipo tayari mimi
Wooooiiiiiiii
Naamini % zote
Nakuzooooom tu hapaKama kawaida nimebaki mwenyewe na je wajua yangu
MbaaaaliiiiziiiiiiiiNakuzooooom tu hapa
Kama unavyoniachaga mwenyeweKama kawaida nimebaki mwenyewe na je wajua yangu
Ooh kumbe na wewe unabakigi mwenyewe siku hizi lini ulishindaga makapuku mwenyeweKama unavyoniachaga mwenyewe
WeeehNakuzooooom tu hapa
Poa we mzee habari yakoNambie we bibie mtoto mlito
Karibu kila siku dadaOoh kumbe na wewe unabakigi mwenyewe siku hizi lini ulishindaga makapuku mwenyewe
Haha u mzima lakin mtoto mlito?Baba wawili ebu acha uongo wako bwana