Makapuku Forum

Makapuku Forum

Miss u darling [emoji8][emoji8][emoji8]
We dada kwani umenifollow [emoji1787]
Kama apa nimekaa babe nakuwaza wewe tu nakupenda yaani nakupenda [emoji8][emoji8] kuna mda sijui unanionaje kama sikupendi ila nakupenda mimi [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Nakupenda we mwanaume mimi [emoji8][emoji8]
Mimi ni wako wewe ni wa kwangu [emoji8][emoji8] sijui uko mbele itakuwaje babe ila juwa nakupenda mimi kibonge wako [emoji847]
Nakupenda wewe tu [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Unachekaaa we mzee
Asee ,nani huyu mwenye bahati hii
 
Back
Top Bottom