Makapuku Forum

Makapuku Forum

Aisee nina miaka kama mitatu tangu mara ya mwisho nilipopitia humu hivi Bitoz dada yetu Jimena na Bailly5 wapo kweli maana mimi nawahesabiaga kama moja ya member waliopotea Jf
Kapuku mwenzangu,
Mimi binafsi siku hizi majukumu yanabana sana hivyo ni nadra kunikuta sehemu nakomenti huwa msomaji zaidi nikipata muda mara mojamoja

Kuhusu Jimena naye maisha tu yamemkaba muda wa kuingia Jf siku hizi hana ila ni mzima kabisa

Kuhusu Bailly naye nafikiri ni hivyohivyo sababu hata thread ya Mashetani Wekundu siku hizi simuoni kabisa

Sisi kutokuwepo isiwe sababu ya thread kufa, mimi nafurahi kuona kuna makapuku wapya wa kizazi kipya cha Jf wanalisongesha tu jukwaa.....hii ni sawa na kupokesana vijiti

Kwenye maisha mtu ukipata muda wa kufuruhi pamoja na wengine unatakiwa kuutumia vizuri sababu kuna kipindi huo muda huwezi kuupata........
 
Sisi kutokuwepo isiwe sababu ya thread kufa, mimi nafurahi kuona kuna makapuku wapya wa kizazi kipya cha Jf wabalisongesha tu jukwaa.....hii ni sawa na kupokesana vijiti

Kwenye maisha mtu ukipata muda wa kufuruhi pamoja na wengine unatakiwa kuutumia vizuri sababu kuna kipindi huo muda huwezi kuupata........
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Bitoz bana...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kapuku mwenzangu,
Mimi binafsi siku hizi majukumu yanabana sana hivyo ni nadra kunikuta sehemu nakomenti huwa msomaji zaidi nikipata muda mara mojamoja

Kuhusu Jimena naye maisha tu yamemkaba muda wa kuingia Jf siku hizi hana ila ni mzima kabisa

Kuhusu Bailly naye nafikiri ni hivyohivyo sababu hata thread ya Mashetani Wekundu siku hizi simuoni kabisa

Sisi kutokuwepo isiwe sababu ya thread kufa, mimi nafurahi kuona kuna makapuku wapya wa kizazi kipya cha Jf wanalisongesha tu jukwaa.....hii ni sawa na kupokesana vijiti

Kwenye maisha mtu ukipata muda wa kufuruhi pamoja na wengine unatakiwa kuutumia vizuri sababu kuna kipindi huo muda huwezi kuupata........
[emoji120][emoji120][emoji113][emoji113]
 
Back
Top Bottom