Makapuku Forum

Msitu wa Amazon ndiyo unaitwa mapafu ya dunia. Tatizo rais mpya wa Brazil hajali mambo ya mazingira na ameruhusu makampuni mengi ya magogo yanakata miti hovyo. Hivi tunavyoongea zaidi ya nusu ya Amazon inawaka moto na inasemekana moto huo umewashwa na hawa hawa wakata magogo na wachimba madini. Tayari wataalamu wanatabiri kuongezeka kwa magonjwa ya mapafu, ukame na kuongezeka kwa joto duniani....

Binadamu siye yaani sijui tukoje [emoji36][emoji36][emoji36]
 
Aiseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…