Hahahaha, safi sana km mzima mutoto muzuriSisi wazima sana
UlisharudiNitarudi tena baadae
Asee ,ahsante sana, nimerudi nilikua tyt kdgNipo ankoo haha..tumekumbuka sana uwepo wako hapa,karbu tena
[emoji3]watekaji sio watu wazuriNaona mnaendelea kutekwa kama kawaida yenu
Karbu sana ankoooAsee ,ahsante sana, nimerudi nilikua tyt kdg
Mm mzima sanaa ulikuwa unauliziwa sana na baba wawili ningendako nikamwambia mjomba ako amekimbiaHahahaha, safi sana km mzima mutoto muzuri
Eenh nilirudi we mzeeUlisharudi
Woyoooo baba wawili hatimaye mjomba ako amerudi nyumbaniAsee ,ahsante sana, nimerudi nilikua tyt kdg
Sio watu wazuri kabisa[emoji3]watekaji sio watu wazuri
Baba wawili huyoKarbu sana ankooo
Wewe hukuwa unamuulizia ankoo?Mm mzima sanaa ulikuwa unauliziwa sana na baba wawili ningendako nikamwambia mjomba ako amekimbia
Mambo vipi mtoto mlito?umeenda church?Baba wawili huyo
Hahhahah ulikuwa unamuulizia weweWewe hukuwa unamuulizia ankoo?
Mambo poa baba wawili sijui upande wako ndio nimerudi apa mda si mrefuMambo vipi mtoto mlito?umeenda church?
Hahaha aiseeHahhahah ulikuwa unamuulizia wewe
Hahahaa au baba wawili nakusingizia mmHahaha aisee
Hahaha sina usemi hapoHahahaa au baba wawili nakusingizia mm