Asante moud na kwako piaEid Mubarrak marafiki View attachment 1179178
Sijambo habari yako moudHujambo bibie
King tena kaingiaje apa we baba wawili jamaniHahaha King mchokozi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamna lolote
Jamani jamani kwahiyo nikifika temeke mikoroshini ndio nimefika etiUsilalamike, nimekuja hapa kwa ajili ya Eid,
Karibuni nyumbani Temeke uswahilini, mikoroshini Kasorobo tule sikukuu[emoji120][emoji120][emoji120].
Aliyepata taarifa hii amdokeze na mwenziye
Duh,,huyu mtekaji ana roho mbaya sana,,,hizi nywila anakuwa anatoa kwa dak kadhaa then anachukua tena[emoji16]Tutaendelea tena baadae na je wajua na shunie shunie chibonge mwenye nyama zake
Alienda kumchokoza hijabKing tena kaingiaje apa we baba wawili jamani
Asante aunt kwa Je WajuaTutaendelea tena baadae na je wajua na shunie shunie chibonge mwenye nyama zake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baba wawili nacheka sana ujueDuh,,huyu mtekaji ana roho mbaya sana,,,hizi nywila anakuwa anatoa kwa dak kadhaa then anachukua tena[emoji16]
#MtekajiMpeKibongeMweusiNywilaZake
Ndiwooo niliwaona ila nyie vijana ni wachokoziAlienda kumchokoza hijab
Binamu hailiki kwa nn....sikukuu njema wadau.
Nyama hailiki leo, ole wenu mnaotuma picha za ajali
Asante binamu yangu tutaendelea tena baadaeAsante aunt kwa Je Wajua
Sijambo habari yako moud
Jamani jamani kwahiyo nikifika temeke mikoroshini ndio nimefika eti
Wasagaji kibao hapo itakuwa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]