Makapuku Forum

Binamu toka umuombe pesa ya fursana hajaonekana

...duh, sasa hizi shutuma kwa hapa Utete nilipokuja kutembea tunaziita fitna. Binamu Tumosa furana atakunywa sana na kwa kuonesha msisitizo hapa nimelima mananasi, namletea yaliyoivia shambani atengeneze jwisi asahau fursana,
Binamu kwani nawe unapenda matunda nikuletee?
 
binamu hizo sio shutuma,tuliona kimya kingi tukajua umetekwa na Sepenga....

Ndio binamu,napenda matunda,naona umehamia kwenye kilimo cha matunda,,,kila la kheri huko hautadhurumia kama kwenye koroshow
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…