Makapuku Forum

Asante Shunie kwa "Je Wajua''

Lile suala la twilla (binamu ningendako ) nitalijibu muda si mrefu ila msemaji wa serikali anatoa news huko natamani ningekuwa na twila nisikie kuhusu malipo ya korosho maana hizi clip za hawa wastaafu wanaotaka kumstaafisha Jiwe, Kichaa aka jirani yangu hapa yaani akivuka maji tu anafika kwangu basi wanatusumbua sana.

Wikend Njema wadau
 
Kumbe mambo ni yote twila binamu,,sikuwa nafahamu hata kidogo,inabd ujiunge huko tupate kujuzwa unalipwa ln yale mapesa

Weekend njema na kwako binamu.
 
Huyu mzee bwana kuna siku alikuja mmarekani humu makapuku akaacha no yake nimtafute sijui wasap mzee wa ugimbi acha apanick toka hiyo siku sijamuona tena
Hahaha sasa si ungemfariji mzee wa ugimbi,na vile unavyojua kumpa presha mzee wa watu,utakuwa ulimtelekeza tu[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…