Makapuku Forum

Nina bahati ya kushinda kila aina ya uraibu ninaopambana nao. Hata JF hapa na mitandaoni huko nikiamua kupumzika napumzika hata mwezi+ nikitaka naweza. Wewe unaweza kukaa siku ngapi bila kuja hapa JF na kwingineko mitandaoni?
Mm ni jf tu ndio ninaitumia ninaeweza kukaa siku zozote nikijisikia kutoingia sina uraibu huu kwakweli eti naweza kukaa bila kuingia jf
 
Hahahah nakuona binamu,hizo sifa zote ni kwa ajiri ya kumpata Sepenga pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…