Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Hahaha binamu bwana....basi siokuguswa tu aunt, mimi ninavyompenda my Telemundo yaani hata akinitext basi kemikali zinaamsha hisia utasema beberu analamba mkojo wa mbuzi jike (wenye tafasiri kama watu wa mataifa shauri yao)