Makapuku Forum

Makapuku Forum

...
20190609_185956.jpg
 
Hahahhahah

Insta babe umeanza

Hiko kinywaji gani tena si unajua mm sijazoea hayo mambo yako

Halafu nimekumiss
nimekumisa pia insta babe...

kweli hiyo avatar imenibariki kwa mweki huo mgongo ni kama ule ule unaopandaga ndege kwenda south yani

hii ni ngumu kumeza moja hivi taste yake inataka kufanana na jameson
 
nimekumisa pia insta babe...

kweli hiyo avatar imenibariki kwa mweki huo mgongo ni kama ule ule unaopandaga ndege kwenda south yani

hii ni ngumu kumeza moja hivi taste yake inataka kufanana na jameson
Hizo ngumu kumeza kwakweli siziwezi mm sijawahi kunywa yaani sizipendi

Acha tu niendelee kunywa zangu heineken

Hahhahah ndege insta babe utanipandisha ww kila siku nakwambia
 
Hizo ngumu kumeza kwakweli siziwezi mm sijawahi kunywa yaani sizipendi

Acha tu niendelee kunywa zangu heineken

Hahhahah ndege insta babe utanipandisha ww kila siku nakwambia
hahaha.... natoa kakitambi kidogo kwahiyo nipo kwenye operation ngumu kumeza

hahah insta babe una masihara ww akati hiyo handbag yako iliyokaa kwenye meza hapo ni bei ya roundtip ticket ya dubai[emoji23]
 
Pole sana insta babe

Mtekaji kama alikuwepo ulimsumbua sana

Hiyo kwikwi inakuwaje sasa unywe maji
asante insta babe

mtekaji alikuwepo na alijaribu nusu glass yakamshinda

hii kwikwi hata ninywe maji haiwez kuisha huwa inandoka yenyewe.... mara nyingi hutokea unazidisha kiwango cha ngum kumeza kuliko ulichotakiwa kukinywa [emoji23]
 
Back
Top Bottom