Makapuku Forum

Makapuku Forum

asante insta babe

mtekaji alikuwepo na alijaribu nusu glass yakamshinda

hii kwikwi hata ninywe maji haiwez kuisha huwa inandoka yenyewe.... mara nyingi hutokea unazidisha kiwango cha ngum kumeza kuliko ulichotakiwa kukinywa [emoji23]
Sasa kwa nn unazidisha halafu unajua unakuja kuteseka

Hayo mambo ya kujaribu jaribu hayo mavinywaji yamenishinda jamani

Mm acha nibaki na ushamba wangu kidogo nitatoka nitaingia kwenye wine basi vingine acha nionekane mshamba tu
 
najuaga limit yangu sema jana kuna kamdudu kaliniingia nikasema namaliza chupa
 
Back
Top Bottom