NdiwoooHahahah
Unajionea wivu mwenyewe
HahhahahNdiwooo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aiseee
Vipi etiHahhahah
Chizi wangu bwana
Kuna katoto kamoja kalinipiga chini wakati niko mwaka wa kwanza..kuna wimbo nilikua nausikiliza sana siku hiyo... kila nikiusikia tena hata leo nakumbuka mbaaaaliiiii.. alafu najicheka tu mwenyewe kimoyomoyo[emoji41]
Unakumbuka nn etiKuna katoto kamoja kalinipiga chini wakati niko mwaka wa kwanza..kuna wimbo nilikua nausikiliza sana siku hiyo... kila nikiusikia tena hata leo nakumbuka mbaaaaliiiii.. alafu najicheka tu mwenyewe kimoyomoyo[emoji41]