Tupoo coco babe
Waanzilishi wameshasepa ujue walioanzisha na sababu zao
Tumebaki wavamizi ndio tumeiteka threadOh kumbe
Pia sijakutana na hizo ID muda sasa.
Hahahaha, angalia hapo juu alichopostAnakutega na nn eti we mzee
Hahahaha, mbn km ni lazima vile , hizo faranga sina kwa sasaHaya ninunulie we mzee
Duh kumbe....
Mjomba shikamooHahahaha, mbn km ni lazima vile , hizo faranga sina kwa sasa
Marhaba, Mama mchungaji kwema hukoMjomba shikamoo
KwemaaMarhaba, Mama mchungaji kwema huko
Kwema kabisaKwemaa
UmeonaeeeeHahaha
Yakiibuka yameibuka
HahahaUmeonaeeee
TupooooooMakapuku ee.
Watu na dini zaoDuh kumbe....
Hahahhaha wewe umemwambia tumosa mwenyewe kuwa sijui sijakutajaHahahaha, mbn km ni lazima vile , hizo faranga sina kwa sasa
Hahahaha ,hayaHahahhaha wewe umemwambia tumosa mwenyewe kuwa sijui sijakutaja
Hebu hukooooHahaha
Yakipotea yanapotea woiiii
HahahahHebu hukoooo
Sema ukweli jamaniiHahahah
Na mm nimemiss kubebishwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]