Makapuku Forum

..duh binamu hata wewe ni wa kunifanyia fitna.Hela hatujalipwa, ingekuwa nimelipwa ningeacha kukualika kwenye ndoa zangu za Ramadhani?

Nililipwa kidogo sana ila nikazimalizia kwenye vunnjajungu, hapa Mtwara huwa tunalivunja kweli kweli
Kwahiyo binamu huu mwezi umefunga ndoa nyingi eenh
 
..duh binamu hata wewe ni wa kunifanyia fitna.Hela hatujalipwa, ingekuwa nimelipwa ningeacha kukualika kwenye ndoa zangu za Ramadhani?

Nililipwa kidogo sana ila nikazimalizia kwenye vunnjajungu, hapa Mtwara huwa tunalivunja kweli kweli
Ha ha ha binamu umenichekesha sana,
Nazikumbuka ndoa zako za Ramadhan,baada ya Ramadhan ndoa zote znavunjika si ndio binamu??

Nakuombea ulipwe binamu,mwsho zile ahadi zote zitasahaurika [emoji2][emoji2]
 
Toka lini insta baby akawa mkoromije shunie??huku koromije tumepazoea sisi na ushamba wetu tu [emoji2][emoji2]

Huyo anaitwa James Haden,mchezaji wa timu ya Houston Rocket kwenye ligi ya NBA!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti insta baby kumbe unanisomaga namsikiaga kumbe ndio huyo

Mm nawajua kina steph curry tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…