Makapuku Forum

Anajua utampiga mzinga,pesa za koroshow kalipwa tyl

..duh binamu hata wewe ni wa kunifanyia fitna.Hela hatujalipwa, ingekuwa nimelipwa ningeacha kukualika kwenye ndoa zangu za Ramadhani?

Nililipwa kidogo sana ila nikazimalizia kwenye vunnjajungu, hapa Mtwara huwa tunalivunja kweli kweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…