Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,389
- 95,843
Nasikitika kukuambia hujawahi cheza na text zangu!
Isiwe kesi, nimekosea kukutania! Naomba unisamehe!
Hahahaa!Ndiwooo
Hahahaaaaaa!Asa si haupoo ama unataka nikulwe na popo bawa!
Mtu chake...naona umefurahi sana.Hahahaha
Mie sikunywagi kweli jamanii baba Naah...Ila si unajua vile mimi sinaga nouma..!
Wewe kunywa tuu ila wakati wa mambo ya msingi fanya mambo ya msingi..
Hahaha hahaha hahahaHahahaa!
Imethibitishwa BJ560FG , Salio lako jipya ni 356,000. Umepokea Tsh. 350,000 kutoka kwa Wakala La Palmas -56443. Asante kwa kutumia M-pesa
Kawaida tu,tuyaache, naogopa sana kupoteza marafiki ,enjoy Mkuu muda wakoMtu chake...naona umefurahi sana.
Hata Tz nasikia wapo sana jamaniiHahahaaaaaa!
Popobawa wako mombasa bhana
Usigope mkuu..! Lolote linaweza kutokea..Kawaida tu,tuyaache, naogopa sana kupoteza marafiki ,enjoy Mkuu muda wako
Labda pwani kwa kina nani liu huko...Hata Tz nasikia wapo sana jamanii
Hahaha hahahaLabda pwani kwa kina nani liu huko...
Sawa baba NaaJamani niwaache mimi..!
Tukalale mama Nah
Nashukuru kwa maelekezo dada ShunieAsante mkuu wangu sasa ukitaka nipate quote yako ukiona comment ya mtu yeyote kama nilivyofanya hivi nenda palipoandikwa quote chini ya jina la muhusika ili mtu apate haraka mkuu wangu
Ewaaa uko na kichwa chepesi na hapo kwenye likes kama umependa alichoandika mtu unabonyeza like unakuwa umempa likeNashukuru kwa maelekezo dada Shunie
Mama NahSawa baba Naa
tupo salama
niwakumbushe tu msile nyama leo ht zile za chii