Makapuku Forum

Nakupenda binamu yangu mm
 
Reactions: Obe
Asante sana dada Shunie kwa ukarimu wako
Asante mkuu wangu sasa ukitaka nipate quote yako ukiona comment ya mtu yeyote kama nilivyofanya hivi nenda palipoandikwa quote chini ya jina la muhusika ili mtu apate haraka mkuu wangu
 
...najua basi, mwenyewe nimeona tangazo kwenye simu ndo nikadhani inahusika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila binamu bwana akili zako unazijuaga mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…