[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaha, Anko mie huyu aunt yenu Shunie sijui kanipa nini ,maana dah Si kwa kumpenda huku ,ila ndio hivyo sio chaguo lake
MTC | 101| [emoji769]
Jirani hako katoto ulikokaweka ndo wale wawili wako [emoji3][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni vile pm huwa siitumii whatsaap huna no yangu acha kunibadilishia gear angani we mzee
Ebu jibu uko we mzee acha kuchekaHahahaha
MTC | 101| [emoji769]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa unanipendaje hunijui mm sikujui au ndio yale ya jf kupenda avatar fake au mwandiko wa mtu
Ebu jibu uko we mzee acha kucheka
Mm apa jamaniHahahaha, Shunie
MTC | 101| [emoji769]
Nishasahau mieKujibu nini
MTC | 101| [emoji769]
Nishasahau mie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu mwenyew kabsa
Mm apa jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...kamba kiunoni tena, au unamaanisha shanga?
HahahahHata Mimi nimesahau
MTC | 101| [emoji769]
Binamu jana nimechagua nyimbo umenipotezea nachagua tena leo...hapo hata kitambi hakionekani, sijui kwanini nikivaaga nguo nyeupe nakuwa kama padri asiyekula sadaka kupitiliza
Atakuelewa kivipi ankoo unaaga mapema hivi,,tena leo upo na support ya kutosha,,hachomi leo wallah [emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi huko jumapili nawaaangalia mnyama yangu wakiwachinja mazembeKaribu ,jpili nipeleke milimani ,kwenye mdumange
MTC | 101| [emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni vile pm huwa siitumii whatsaap huna no yangu acha kunibadilishia gear angani we mzee
...wewe si uko zako Congo, sijui Kasavubu, tafuta dawa ya kupendwa, sio unakaaakaa na mvi kwenye ndevu kama mpiga adhana