Makapuku Forum

Kwa wale wakongwe na wapenzi wa Bakulutu, mamiziki ya Kongo basi tumeondokewa na gwiji wa muziki Simaro Lutumba mwishoni mwa March 2019. Maarufu kama 'mshairi- a poet kwa utunzi wake ulioupa chart za juu band ya TP. OK Jazz na hata alipoachana nayo akaanzisha band yake ya Bana Ok akichukua wanamuzi wengi waliokuwa na TP Ok chini ya Luambo.

Pumzika Simaro- wapenzi wa Jazz ya taratibu tutakukumbuka kwa utunzi mzuri wa mashairi ulionogeshwa na sauti za Carlyto Lassa, Mangwana, Michel Boyimanda, Papa Wemba na Mbillia Bel.

Burudika, maisha ni haya haya

 
R.I.P
 
Salama Mr burudani.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…