Hahahah tatzo unapenda chura sana ndugu yangu,bado pia ni kijana mkaidi,kijana wa kamati ya roho mbaya hahaUnaongea na mimi kwa ukali ila angekuuliza toto yako pendwa ningendako ungemjibu kwa upendo wote,ila mimi mtoto wa kambo hutaki kunisikia wala kuniona!![emoji849][emoji849][emoji849]
Na kwako pia binamuAsubuhi na siku njema wadau. Kama vipi, baadaye
HahahaTecno wereva
Aisee!!Waambie wawili wako wa kudownload asante kwa kunimiss
Mm mzima sana moudMi mzima hofu kwako
Hahahaha eti mtoto wako wa kamboUnaongea na mimi kwa ukali ila angekuuliza toto yako pendwa ningendako ungemjibu kwa upendo wote,ila mimi mtoto wa kambo hutaki kunisikia wala kuniona!![emoji849][emoji849][emoji849]
Shikamoo binamuAsubuhi na siku njema wadau. Kama vipi, baadaye
Kwahiyo baba wawili unanibishiaAisee!!