Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Hebu amka tupige tiziSio sawa ndio tutoke
Hebu amka tupige tiziSio sawa ndio tutoke
Acha tu jirani,,shangazi anauliza maswali utadhani upo central[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....
Ila aunt una maswali wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatujambo mkuuNaamini mmeamka salama
[emoji120][emoji120][emoji120]Tuanze na Mungu, tujiweke mikononi mwake!
Kaka ake shikamooAcha tu jirani,,shangazi anauliza maswali utadhani upo central[emoji2][emoji2][emoji2]
Na kwako pia mkuu
Marhaba dada yangu,kwema huko?familia haijambo?Kaka ake shikamoo
Kwema,tunamshukuru Mungu hatujamboMarhaba dada yangu,kwema huko?familia haijambo?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Acha tu jirani,,shangazi anauliza maswali utadhani upo central[emoji2][emoji2][emoji2]
Happy woman's daysHatujambo mkuu
Nipo hapa reception nakuja ofisini kwakoHaya karibu mno
Sio tusi kweli hilo[emoji23][emoji23]
Jiranii [emoji23][emoji23] ebu muulize mama wawiliSio tusi kweli hilo[emoji23][emoji23]