Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,424
- 95,904
Akhaaa naogopa mm watu wa jf
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mfyuuuu
We mzee ndio unataka ikuteseHahahaha, asee hii ya picha inanitesa sana
MTC | 101| [emoji769]
[emoji1787][emoji1787]Kama Mimi hy meeting ni wawili tu km Trump na Kim huko Hanoi ,Vietnam
MTC | 101| [emoji769]
We mzee ndio unataka ikutese
Hahahaha ,umefurahi eeh[emoji1787][emoji1787]
Hahahah ww haujanijaza picha kweli ulipewaHapana unavyoulizia ndio unanitesa ,yaani nahisi km nimefanya kosa,kumbe nilikua nakujaza tu
MTC | 101| [emoji769]
NdiwooooHahahaha ,umefurahi eeh
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha, safi Sana, mie ukifurahi nafurahi piaNdiwoooo
Hahahah ww haujanijaza picha kweli ulipewa
Naona ushatumiwa picha...We mzee ndio unataka ikutese
Naona ushatumiwa picha...
Hahahaha, asee hii ya picha inanitesa sana
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha, ahsante umefikie shangazi Shunie huu wimbo...sema tu, unasinzia ukimuwaza; usiufanye moyo wako kuwa mgumu
Mfyuuu zakeSi manga anakwambiaga umepotea humu au umepandishwa cheo
Ww yamekugongaje[emoji23][emoji23]I guess huu ndo uzi wenye comments nyingi kuliko uzi wowote ule humu jf.[emoji119]
Haya maisha bhana... kila mtu huwa yanamgonga kwa style yake.