Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,387
- 95,837
Unanibadilishia gear angani na habari za mgongo njoo upande nikubebe
Si kuhusu aliyekutumia pichaHahahaha, kubadilisha vipi tena shangazi? Asee fursa hy kupanda na kubebwa ktk mgongo wa shangazi @Shunie
MTC | 101| [emoji769]
[emoji125][emoji125]Akijibu nishtue nna zawadi yakoEbu niambie baba wawili umejuaje kwanza kuhusu mambo ya nywele za darling
Nzuri kabisa..Poa T habari yako
Hahahaha, salama kabisa
MTC | 101| [emoji769]
Nzuri kabisa..
Naomba mambo yako pouwa kwenu pia.
Mkuu tunabadilishia wapi hela za Trump na madafu...kana kaupekuzi kamepita dsm ..[emoji52][emoji52]Hahahaha, kubadilisha vipi tena shangazi? Asee fursa hy kupanda na kubebwa ktk mgongo wa shangazi @Shunie
MTC | 101| [emoji769]
Si kuhusu aliyekutumia picha
Milimani ana mlimani?Hahahaha, nipo na shangazi nabembeleza nipelekwe milimani Mkuu
MTC | 101| [emoji769]
Milimani ana mlimani?
Pelekaneni tuu! Maisha ni mafupi sana mkuu.
[emoji125][emoji125]akikujibu aunt nna zawadi yako niiteEbu niambie baba wawili umejuaje kwanza kuhusu mambo ya nywele za darling
Mkuu tunabadilishia wapi hela za Trump na madafu...kana kaupekuzi kamepita dsm ..[emoji52][emoji52]
Dooh! Watauwa sasa na zile rate zao za mwaka juzi..Hahahaha, mkuu nenda BOT ,mie niko porini huku
MTC | 101| [emoji769]
Dooh! Watauwa sasa na zile rate zao za mwaka juzi..
Mkuu juzi ! Nilichange ikiwa 2415..! Sasa leo nikaibadilishe kwa 2100 kweli? [emoji41][emoji41]Hahahaha,vumilia maendeleo hayana chama
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha, Leo imeshuka ?Mkuu juzi ! Nilichange ikiwa 2415..! Sasa leo nikaibadilishe kwa 2100 kweli? [emoji41][emoji41]
Leo ni 2410 - 2405 , mbaya zaidi B'de change zimefungwa.. sasa ukienda bank lazima ulambishiwe ndimu..Hahahaha, Leo imeshuka ?
MTC | 101| [emoji769]
Leo ni 2410 - 2405 , mbaya zaidi B'de change zimefungwa.. sasa ukienda bank lazima ulambishiwe ndimu..
Hahaaa...Asee ,mko ktk raiti traki
MTC | 101| [emoji769]
Alishajibu
Yapo poa kabisaNzuri kabisa..
Naomba mambo yako pouwa kwenu pia.