...hivi aunt kwanini hurudishi wewe kwa wema, mimi kila siku nasemaga mambo mazuri kuhusu wewe, siku nyingine naendaga hadi kwenye msikiti wa hapa nashika spika natangaza sifa zako nzuri kabla ya swala. Ila sasa wewe unapenda kuniharibia, mimi nabebeka sana, tena akinibeba
ABJ nakunja na miguu, nasinzia