...aina nyingine ya ujinga na ulevi wa madaraka!
Kwa sisi tunaotumika usiku tukose mawasiliano?
BTW, hizi kampuni zinatengeneza faida kwa kufanya kazi/huduma za mawasiliano, wengine tuna biashara za mtandaoni na kodi tunalipa, huku ni kufisha biashara