Kulipwa ndo habari shangaziKwahiyo unataka akulipe au mm ndio sijaelewa
Shangazi kunywa ile kinywaji unakunywaga chunguuuu.nakuja kulipaWa kuvua totozbara na pwani
Hahahahhaa atajua hajui
hapo kwenye kukaa na siri hapooo ndio shangazi shunie pamemshinda kabisa
Hahhaha ndio jamani
Kwahiyo umeshalipwa nipate ten percent yangu
Ninakunywa hapa ulipe sasa
Tayari mama 10% chukua hiyoKwahiyo umeshalipwa nipate ten percent yangu
Kwakweli sina kifua nani anataka kupata ugonjwa wa kutanuka moyo sababu ya kuweka mavitu kifuani shangazi kimemshinda hiko
Usijichoshe kwakweliKwakweli sina kifua nani anataka kupata ugonjwa wa kutanuka moyo sababu ya kuweka mavitu kifuani shangazi kimemshinda hiko
Na shangazi hataki kujichosha kabisa na mambo mengi
Hahahahha inabidi ujifunze shangazi kutunza siri hasa za ukoo wetuhapo kwenye kukaa na siri hapooo ndio shangazi shunie pamemshinda kabisa
Hahahaha
Hahhaha baba wawili nitajitahidi lakini nitakuja kuharibu siwezi mimi jamaniHahahahha inabidi ujifunze shangazi kutunza siri hasa za ukoo wetu
Nashukuru kpenz cjambo
MfyuuuuEbu kachekecheke kule basi
Kwema dada akeNashukuru kpenz cjambo