Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,387
- 95,838
Sanaaa we mzeee unaijua eenh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimecheka mmHasa hapo 'mapenzi hayana mwenyewe unaweza kupenda kijana au muzee'
wazee nasi huwa tunapendwaga ,
He he sauti nzuri niipate wapiii shunie mm chura kasingiziwa hapa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimecheka mm
Hahhaha mwandiko usikudanganye sina sauti yoyote mimiHahahaha
Hapana siamini, maana nimeona tu haya mashairi nikahisi tu ,sauti yako inavyouimba huku ukiuandika
Kiasi mie muzee imebidi tu nikupe 'hongera' zako
Nikajua umeshaachika baba wawili wangu
Ndege nimenasa ndani ya ulimbo wako sitaki kutoka ndani ya mtego wako
Kidogo tuHahahaha, mabinti wa kisasa mna mambo nyie
Eeeenh mm najiimbia tu nyimboHahahaha
Eeeh,mashalaah ,ndio maana naupenda huu Uzi
Hahhaha mwandiko usikudanganye sina sauti yoyote mimi
Kidogo tu
Kungekuwa jf na app ya VN ningekuwekea hapa ukimbieMmmh, acha tu niamini kuwa una sauti nzuri
Nilikuwa silijui hiloJapo kidogo,lkn vyakunogesha,hahahaha
Eeeenh mm najiimbia tu nyimbo
He he acha nijichekee tu mieHahahaha
Nami naufurahia tu ,maana ni muda sijaona mashairi mazuri km haya hasa humu ktk huu Uzi
Nilikuwa silijui hilo
Nimeshajichimbia ndani ya safina lako wanga tuwaache na gharika lao