Wewe unayejijua kuwa ni nyongo mkalia ini wake basi burudika namuziki huu. Binafsi mimi sikujui ila aunt Shunie hajakutaja sasa anko wangu Lyon Lee , au mtu chake , Davet , na wengine nawatakia msimu mzuri wa sikukuu
Yale maneno yako mpaka leo yanajirudia kwenye akili yangu" stop crying beautiful, everything will be fine" hujui tuu we mtu ni namna gani ule usiku hayo maneno yalinipa faraja