Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,758
Mkuu jiwe yuko wapi?Namiss sana "je wajua na shangazi shunie shunie"!!Diamond Platnumz, Rayvanny wafungiwa kwa muda usiojulikana
Baraza la Sanaa nchini (Basata) limewafungia wanamuziki Diamond Platnumz na Rayvanny kutojihusisha shughuli za sanaa kwa muda usiojulikana.
Taarifa ya Baraza hilo iliyotolewa leo Desemba 18, imesema limefikia uamuzi huo baada ya wasanii hao kuonyesha dharau kwa mamlaka zinazosimamia shughuli za sanaa nchini, kwa kufanya vitendo vinavyokiuka maadili.
Mbali na kuwafungia wanamuziki hao, Baraza limetangaza kukifuta kibali cha Tamasha la Wasafi Festival linaloendelea nchini.
Wimbo wa Mwanza ambao uliowaingiza matatani ulifungiwa Novemba 12.
Juzi, Basata iliahidi kutoa taarifa rasmi baada ya wasanii hao kuonekana jukwaani katika Tamasha la Wasafi jijini Mwanza wakitumbuiza wimbo huo.
Shombeshombe hajambo binamu,,anakusalimia sana,,,kwan toka ln mjomba akatulia kwa hao watu wake,,yy mwenyew anasema anaweka heshima ya ukoo
Hapana mimi sijafanyiwa teuzi ila nasikia kuna single mother mmoja hivi ndo kateuliwa kwangu
Bahati mbaya amekataa sijui jiwe atachukua maamuzi gani...una bahati sana aisee, maana singomaza wana uzoefu wa kutosha na utafurahia madikodiko na malavidavi na usafi unaoeleweka
Diamond Platnumz, Rayvanny wafungiwa kwa muda usiojulikana
Baraza la Sanaa nchini (Basata) limewafungia wanamuziki Diamond Platnumz na Rayvanny kutojihusisha shughuli za sanaa kwa muda usiojulikana.
Taarifa ya Baraza hilo iliyotolewa leo Desemba 18, imesema limefikia uamuzi huo baada ya wasanii hao kuonyesha dharau kwa mamlaka zinazosimamia shughuli za sanaa nchini, kwa kufanya vitendo vinavyokiuka maadili.
Mbali na kuwafungia wanamuziki hao, Baraza limetangaza kukifuta kibali cha Tamasha la Wasafi Festival linaloendelea nchini.
Wimbo wa Mwanza ambao uliowaingiza matatani ulifungiwa Novemba 12.
Juzi, Basata iliahidi kutoa taarifa rasmi baada ya wasanii hao kuonekana jukwaani katika Tamasha la Wasafi jijini Mwanza wakitumbuiza wimbo huo.
Bahati mbaya amekataa sijui jiwe atachukua maamuzi gani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85]...huu ukoo kwa mambo ya asili kwa kweli ni ngumu kuepukana nao. Msalimie sana cheupe, siku ukiweza niambie kama wanawake weupe huwa nao wana mazivu meusi au ni meupe
Vigezo na mashart vizingatiwe binamh,,,nmeshamwabia huyu ndugu yako,,tatzo hatak kufata hayo mashart,,,ngoja apambane tu,,, Tumosa atamfaidi kwa picha tuHa hahahhaha, wewe inaonesha ni mtu wa mashaka, Jiwe itakuwa ngumu sana kukusaidia, ongea na ningendako ana wachumba wengi aweza kukufanyia wema kwenye msimu huu wa sikukukuu akakkupa mmoja
Vigezo na mashart vizingatiwe binamh,,,nmeshamwabia huyu ndugu yako,,tatzo hatak kufata hayo mashart,,,ngoja apambane tu,,, Tumosa atamfaidi kwa picha tu
Kwema hbr ya asubuhi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwema dada ake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha ha ha jiwe ndio nani mkuu
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Ewaaaaa
Una kumbukumbu nzuri jamani...
Nipo mimi jamani
NambieDear
[emoji106] [emoji106] [emoji8] [emoji8]Binamu mambo?[emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Hivi unajua kipengele cha muziki humu Jukwaani ninajihisi kuwa nimekitendea haki sana kwa huu mwaka 2018. Sitaki mnisifu ila nitajisifu mwenyewe maana ndo napenda na hata msiponiuliza hali yangu basi nakuwa wa kwanza kuwaambia niko mzima kabisa na ninafurahia mara zote kukuona hapa wewe mdau wa Jukwaa hili.
Sichoki kuuliza kama KUNA JIPYA.
Burudika na huu wimbo kwa sasa muda huu
[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji123] [emoji123]