...nilikuwa sijajua kama nitalipwa hela ya korosho, sasa kicongo ninakitaka maana nimeshaongea na rapa wa Mashujaa band atakuwa ananirusha kila wimbo, akinitaja mara moja anapata buku bee, akichombeza na sifa za kunipamba basi anakula mwekundu wa msimbazi haraka sana