Makapuku Forum

...na mimi anko kipenzi nimekuona na asante sana kwa ushauri wako, nimeuzingatia sana, Hii busara uliyonipa hadi nashangaa inakuwaje huwa unafumaniwa sasa au ndo mganga hajigangi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
...aisee, kumbe walokole ni walevi hivi, wanakunywa novida wanalewa halafu hatuambiani!!! Hii sio haki kabisa, hebu nielekeze hilo kanisa niende fasa, na kama kuna mkesha na wanakwaya wapo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…