Waaleyqum salaam warahmatullah
Me mzima khouf kwako weye
Oh haya namsubiria
Mimi mzima pia,,,nakumiss sana tu
Owk love,,ngoja tumsubiri hapa
Nakumiss zaidi
Mwambie askawie nasinzia
Jamani kumbe Madame ulikuja nilikua nataka kukusalimia tu mmNmemwambia bibie anauchovu kadai ana jambo anataka kuteta na ww.
Huyu nae mtembez hatar,,ngoja nimstue
Mchumba
Jiweee [emoji23][emoji23][emoji23]
Prince anakusubiri mama awe mchepuko[emoji13][emoji13][emoji13]
Kazi imeanza!....Hapa kazi tu!!....Jiwe i love you mama![emoji123][emoji123][emoji123]
Prince mchepukoMume yupi wakati unatakiwa uende kwa prince sasa hivi![emoji4][emoji4][emoji4]
Hakuna kama jiwe!Mimi iko penda sana teua-tenguzi zake![emoji847][emoji847][emoji847].....Prince anakusalimia mkuu!!
Unapinduliwa tu kama hautulii
Shangazi embu ngoja kwanza.Prince anakusubiri mama awe mchepuko
Mrs mainfoooo ..karibuuu na shikamooooo
[emoji23][emoji23]Unapinduliwa tu kama hautulii
Mnyamaaaaaaaaa
Shangazi wetu sisi wenyewe yaani. Nakusalimia sana
Kupendwa kuheshimiwa[emoji173][emoji173]
Sipendi kbs lkn bado hajafika huko kwenye maumivu Shangazi[emoji19][emoji19]Hivi unapenda kuumizwa eeenh
Huyo mumeo hajatulia kabisa anabebishana hapa mm roho inaniuma sanaShangazi embu ngoja kwanza.
Kwani kuna nini,?
Pambana acha woga
Hii ndo kuamkaa tajiri ulilalaa maskinKhaaaaaaa
Ndiwooo sasa mtu hatulii kila mtu anamtaka yeye si lazima na yeye atafutiwe mchepuko[emoji23][emoji23]
Na wewe kweliiPrince anakusubiri mama awe mchepuko