Makapuku Forum

Khaaa baba wawili huijui series ya mpire kama haujui cha kukusaidia mm sina baba wawili
Sisi tunaita season,,zile zimewekwa maneno ya kiswahili na dj afro


Naifahamu shangazi,,sema siipendi na sijawahi kuitizama hata mara moja baada ya kuona maudhui yake kwenye trela

Kuna nyingine pia ipo kama empire,inaitwa STAR pamoja na Dynasty,,,kama umeipenda empire hata hz pia utazpenda sana.
 
Hahahha usichokipenda sasa msababishi ndio huyo jamal
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…