Makapuku Forum

Ili mtu aliye Fariki aweze kufikia Kilele (Mshindo) ni lazima uelewe mechanisms nzima mpaka mtu anafikia Hali hiyo inakuaje (Akiwa Hai)

Kwa kifupi kuna mshipa wa Fahamu unaitwa Sacral Nerve ambao kwa kiasi kikubwa ndio una ratibu hali hiyo (Swipe kuona Sacral Nerve)

Hivyo basi kama mtu kafariki, Ubongo wake unakuwa umekufa,....Ubongo una mchango katika Hali hiyo lakini Sacral Nerve pekee inaweza kumaliza Hali hiyo, Hivyo ili itokee Kinachohitajika ni Sacral Nerve inabidi ipate hewa ya Oksijeni.

Hapo ndipo tutahitaji mashine maalumu za kuupa mwili Oksijeni....Kuna mashine zinaitwa Medical Ventilator, Zinatumika pia hasa kama mtu Amefariki na Tunahitaji baadhi ya Viungo vyake kwaajili ya Kupewa mtu mwingine.

Naimani, umewahi skia mtu anasema kama akifariki basi anaomba Baadhi ya ogani zake zitolewe Wapewe watu wenye uhitaji, So hiyo mashine ndio huwa wanatumia ambapo kama Ukiwekewa hata kama Umefariki, Baadhi ya Ogani huendelea kufanya kazi kama kawaida mfano ni Moyo utaendelea Kufanya kazi....Ila ubongo ndio unakuwa umekufa.

So hapo kama Oksijeni itafika katika Sacral Nerve Huku mambo yatakwenda kama kawaida mpaka mashine iondolewe
 
Nampenda jaguar
 
Hii nadharia baadhi ya maandiko yanakosa evidence
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…