Ujuee nimeshangaaa kuona unaukana ukoo wetu wakati kwenye ukoo mim na Obe binamu ndo afwadhwariiii ....wewe kibokoooo unakombaaa kuanziaa mama mpka bibi mtuAh anko,,ujue nakutegemea kwenye safar yetu ya TA ww na binamu yangu,,,haya mambo tutaongelea kwenye kikao cha ukoo
Kabisa mkuu naanza na wewe!![emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe sitaki hata kukuona hufai
That's my babe!niko makini usijal
Ni kwel mkuuJichekee tu mkuu maisha yenyewe mafupi
Nakuangaliaa tu mkuu,,halafu nasema hiiiiiiiiiiiiiRamli chonganishi![emoji115]
Kesho najitangaza mwenyewe kuwa msaidizi wa jiwe![emoji123][emoji123][emoji123]
Mjombaaa mjombaaa kwa hiyoooo huyu ndo mpya umemdanganyaa kama kawaida yakoo ?That's my babe!
Hiv jiwe ndio nan? Namsikia sana huko ulimwenguniKesho najitangaza mwenyewe kuwa msaidizi wa jiwe![emoji123][emoji123][emoji123]
Wouzeeerrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] asiye na babe abebe geishaThat's my babe!
Msaidizi hutakiwiii umeona wapii hiiKesho najitangaza mwenyewe kuwa msaidizi wa jiwe![emoji123][emoji123][emoji123]
Na mm nakazia nasema hiiiiiiiiiiiiNakuangaliaa tu mkuu,,halafu nasema hiiiiiiiiiiiii
Shida yako aachwe awe single akiachwa jua na we mary anakuachaMjombaaa mjombaaa kwa hiyoooo huyu ndo mpya umemdanganyaa kama kawaida yakoo ?
Ukijibiwa uniiteHiv jiwe ndio nan? Namsikia sana huko ulimwenguni
Eisssh
Sasa mary kaingiajeee ujuee ww ndo nakutegemeaaa...Shida yako aachwe awe single akiachwa jua na we mary anakuacha
Ndio maana yake shangazi,[emoji23][emoji23][emoji23]Wouzeeerrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] asiye na babe abebe geisha