Chakulaaa ya ubongooWatu wengi waliofanikiwa walikuwa na tamaduni ya kujiekea akiba tena bila kujali wanachoweka ni kidogo au kikubwa. Matumizi bila hakiba ni sawa na kula chakula kitamu bila kushiba. Mtu haitwi kafanikiwa kwa kutumia pesa nyingi kwenye vitu vya kijinga au vitu visivyomuingizia pesa. Mtu anaitwa kafanikiwa kwa kutumia pesa kwa mpangilio na kuweka akiba mara kwa mara. Sababu inayotufanya tusifanikiwe sio kwakuwa hatuna kazi nzuri au mishahara tunayolipwa na waajiri wetu ni midogo hapana. Sababu inayotufanya tusifanikiwe ni matumizi yasiokuwa na lazima hata kwa kile kidogo tunachokipata pia hatukijali. Kijana ananunua Iphone ya laki tisa kwa ajili ya kutafuta sifa kijiweni ili aonekane maisha yake mzuri. Huku mwenye nyumba anamdai kodi ya miezi miwili hajalipa na akiambiwa anasema "Nivumilie mzee". Sasa kulikuwa kunahaja gani ya kununua simu ya laki tisa wakati elfu sabini ya chumba unadaiwa alafu ukifukuzwa unalalamika wenye nyumba wakorofi. Kanuni ya mafanikio inamkataza mtu kabisa kuwekeza au kutumia pesa yake kwenye vitu ambavyo havimuingizii pesa. Mfano unakwenda kukopa bank milioni mbili alafu pesa uliopewa unanunua Frat screen na kumuonga mwanamke bar. Hivi pesa hizi ulizokopa utazilejesha kwa mfumo gani? wakati vyote ulivyotumia kwa pesa hizi havikuingizi pesa bali vyenyewe vinahitajia pesa ili kujiendesha kila siku. Ndio pale niliposema hatufanikiwi sio kwasababu mishahara tunayolipwa ni midogo hapana. Bali hatufanikiwi kwasababu hatuna elimu ya udhibiti wa fedha na hatujiwekei akiba. TAFAKARI KWA KINA Elimu ya fedha ndio ngao ya fedha.
Alright✊Ni jina tu mkuu wala usiogope
Hahaha zimefika shangaziWoyooooo
Msalimie jamani
Kwema moud,,nipo poa kabsa,,habar za kwako??pole na majukumAamin, kwema mkuu, habari za majukumu
Get prepared
Asante mkuu ningeKwema moud,,nipo poa kabsa,,habar za kwako??pole na majukum
Hahahahah ulale poa bhanaRaha ya kukulwa ukiongea na babe tu unaanza kuloa yaani mtu unahisia nae sio unakulwa na mtu huna hisia nae papuchi hailoi uko ni kuliwa kifwala jitu hulipendi acha nilale mie muwe na usiku mwema
[emoji38][emoji38]waolewaji hua wana gubu sn hasa wakikuta kesi km hizi wanazivaa kibabe,....njooni taratibu, hela za korosho ni lazima uwe na shamba, sasa njooni mdai mtaji wenu wakati hamjahakikiwa, hela zina namba hizi. Niachieni zote mtalipwa mbinguni
[emoji23][emoji23][emoji23]....hawajui kabisa, wengi walidhani ulipomchukua yule mwanamke wangu wa Arusha tungekosana kumbe ndo tukaamua kufanya fyucharingi.
Ila yule mdada alinilalamikia kuwa ulimuambukiza UTI
[emoji134][emoji134][emoji134]....ukute hamna, jiwe kaamua kuwa msagaji.
Kanunua mashine ya kusaga unga
Shangazi waenda mbio nyingi sn.Hahahaha
Nawavuruga na nn jamani
Shika manini, ?[emoji52][emoji52]...Mama yenu akisikia haya maneno ya ubahili atawashangaa sana. Juzi tu nilikuwa dar, nikampeleka pale stand ya Manyanya kununua zile shikamaziwa za mtumba
Haswaaa, na akapatikana mwenye utamu wake[emoji39][emoji39]Nitakeee radhiii naanzajeee kukulwa kulivyo kuwa kutamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani leo nawe upo jirani na shngazi. ?....ashakum, kama shangazi ana sharubu , mavuzi si yatakuwa mengi sana [emoji849]
Mjomba kwani umetutelekeza hata sie jmn.? [emoji19][emoji19]
HahahahaMjomba kwani umetutelekeza hata sie jmn.? [emoji19][emoji19]
Salama habari za huko.?Habar za hapa ndugu zangu!!
Polen na majukumu
Poleni wagonjwa wote Mungu yu pamoja nanyi,kilio chenu anakisia!
Bc pokea salam zangu[emoji113]Hahahaha
Hapana tupo pamoja, Mjomba