Kwahiyo kila kitu mnanitupia mmShangazi waswahili husema "ukubwa jalala "
Si awatafute modsNadhani anataka aingie jukwaa la dini
Bahati mbaya sn umechelewa,Baada ya uteuzi tuu mambo yakawa fresh ss nakunywa juice ya malimaobinamu ana simu mpya na saa nzuri bkweli
Hahahahamjomba katenguliwa tena
Oky, thankxNmemwita akueleze huyo
Anaweza mwaga manyanga na yyAmebaki na abj wake anayemvumilia kwa kila kitu
Khaaaa kwani we mzee jamanii humu si matani tu au ulikuwa serious mm sijui jamaniiii woiiiiiHahahaha, dah
Maramamae walahi ,acha tu niendelee kujilewea ,si kwa style hii
Yaani mpk najionea huruma, huu Uzi utanishinda huko mbele ,hapa nikujipa likizo tu ,sijui mikosi gani ninayo
Najua walimwengu na wafitini,viroho vya korosho, vimepitisha maneno yao
Haya bana ,niwaage wajomba zangu ,bye bye
Kwa mangi Shayo moja hii,kutoa uchungu
Mlijitahidi sn nami pia sikua nyuma,,tatizo X yule hela jama hela hata nauli alishindwa akaniambia niombe list ktk magari ya wale jamaa wa kubeba koroshow
Fresh kabsa,,,lnamfaa hloLkn we unaonaje, ?Si fresh kbs kwa Shangazi.?
Mjomba usitukatili sie kwa kosa la shangaziHahahaha, dah
Maramamae walahi ,acha tu niendelee kujilewea ,si kwa style hii
Yaani mpk najionea huruma, huu Uzi utanishinda huko mbele ,hapa nikujipa likizo tu ,sijui mikosi gani ninayo
Najua walimwengu na wafitini,viroho vya korosho, vimepitisha maneno yao
Haya bana ,niwaage wajomba zangu ,bye bye
Kwa mangi Shayo moja hii,kutoa uchungu
Sasa binamu yangu pesa zote zile za koroshow kapeleka wapi??kama hata tuishien tumemlipia pale kwa ras simba,,
msebule=mchumbaMsebule ndio nani
Ana list ya abiria zaidi ya 49
Sasa binamu yangu pesa zote zile za koroshow kapeleka wapi??kama hata tuishien tumemlipia pale kwa ras simba,,
Unakubaliana kwahiyo mm kuwa jiwe baba wawiliNmeambiwa hapa kuwa jiwe ni shangazi,,na hapa hakuna shangaz mwingine zaid yako ww
Hivi mjomba akee kwani alikuwa serious au mm najua matani jamani sio kwa povu alilotoa juumjomba katenguliwa tena