Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,729
Mkuu kuna taarifa kuwa pombe za weekend zimekata kichwani ghafla baada ya Shangazi yangu kuposti mupicha,hizi taarifa zina ukweli kiasi gani?Hahahaha
Kojoooooooo linakojozwaaaaaaa haswaaaaaaaaaa....Jamaniii Behaviourist hatakiii shangazi yake niliweeee
Hutakiii etiii aliweeee
Hahahhaha
Hapana aisee ukaguzi nimewaachia wakaguliwe wenzangu ngabu
Na Dada akee mpenzi
Nyani Ngabu nae kaona? basi mpaka hapo nishaambulia patupu
Mmmhhh!Nina shangazi mzuri hadi natamani ninunue bunduki! mtu chake hapa lazima pombe za weekend zikate ghafla!!
Nipo.
Ulinimiss au?
Shualina....hivi una magauni mawili tu? Chui chui na hiyo nyekundu?
*najaribu nami bahati yangu hapa*
Mkuu kuna taarifa kuwa pombe za weekend zimekata kichwani ghafla baada ya Shangazi yangu kuposti mupicha,hizi taarifa zina ukweli kiasi gani?
Nilisikia Eti waga ana dawa za mivuto.
Unajipaaa matumainiiiiHahahaha, ni kweli ila sasa mie napostiwa zaidi ya hizo ,mumuache shangazi yenu jamani khaa
Mjomba wenu ndio nimekaa hapo
Sasa mbona unauliza majibu.
😁😁ukitaka kuchuma vya juu lazima uweke vya kukanyaga kwa chini vikupe balanceHuku ni kuchafuana tu sasa....🤣🤣🤣🤣
Jamani nimepata ila alama imeishaAcha kabisa yaani!!
Umeziona ny nyo lakini?
Dizaini Shualina hajawahi hata kupata kidonda mwilini!
Hahahahahhahaha unatakaa apostiii nyingineeeee ...utalowanishaaaa boxer mkuu
Mkuu bunduki lazima ninunue kwa sababu siyo kwa uzuri ule!!Hahahaha, tulia kijana, shangazi yenu ndio ninaye Mjomba wenu ,
Halafu usinitishie bunduki Mkuu, maana hizo nacheza nazo km toy ,Hahahaha
Mweeeh sasa Behaviourist atakubali kweliWe kubali tu jaman kuwa mama angu Wa ubatizo duh
Hahahhaha umeona eeenhHalafu kumbe kuna watu huwa wanapita kwenye hili jukwaa kimyakimya!
Ngabu watu wanakuogopa ujue mpaka wanaume wenzakoHeheheheeeeeee......sina hata pea ya kiatu!