...wewe utasubiri sana maana kwa Jokate ulinibania japo ile clip akitwerk, ukaamua kula mwenyewe, shukuru jiwe alikuwa na majukumu ya kimwili sehemu nyingine.
Vipi nasikia Mwantumu alikufuata ukamdhamini Amber Ltty maana nilimsikia akisema eti usitupe mbachao kwa msala upitao