Makapuku Forum

Kwahiyo binamu umewaona tumosa na kaka akee baba wawili tu sisi wengine sio watu humu eenh
 
Shukran sn na iwe njema kwako pia.
Alhamisi ni nini eti.? Alafu jana nimekuita wee ukajifanya husikii [emoji19][emoji19]
Alafu kuhusu umbo Mchina amenijazia chura mpk amenielemea


...niwie radhi, uliponiita nilibanwa na hamu/haja za kimwili nikshindwa kuandika ikabidi nikutumie tu wimbo kimoyomoyo, ila nimegundua kuwa huwa hauniwazi, ingekuwa ndiyo basi dedication yangu ya moyoni ungeipata
 
Serikali ya Zimbabwe imetenga dola billioni moja kufidia wazungu waliopokonywa mashamba yao wakati wa mpango uliozua utata ulioendeshwa na rais wa zamani wa Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe.

Mataifa ya Magharibi yaliweka hilo kuwa sharti kuu kabla hawajaondoa vikwazo vilivyoporomosha uchumi na thamani ya sarafu ya Zimbabwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…