...khali yangu sasa imekuwa nzuri maana nimekuona Jukwaani, yaani ulipopotezwa wikend niliumwa hadi wakataka kunipeleka kwa mganga tiba mbadala, nilikuwa sili, silali nakuwaza wewe. Hebu nihurumie, ukitaka kupotea humu ita matarumbeta uniage.
Missed you na niko happy kukuona