Hawa ni wachezaji tennis kama una DSTV nenda 206 sasa hivi ni live ila siyo najitapa mwanangu mimi ni kikongwe hivo si kijana ana uwezo wa kununua zote hizo. Wakati nipo primary nasec. tulikuwa tunacheza Tennis, Wakati wa nyerere michezo ilikuwa lazima ukiwa mwana michezo unasomeshwa nje ndo wengine waipatia. Mimi nilicheza nikasoma na nikafaulu.
Hatukuwa na cha kusema ccm imefanya hivyi sababu ni chama kimoja halafu viwanja vhyote vimejengwa wakati wa chama kimoja na ndo tullichangiwa na wafadhiri tulipoenda kucheza popote. Siasa na michezo haviendani ila urusi wanawapa madawa wa kuohgeza nguvu