Mwana kamati asijitetee huyolawama zote zimuendee aisee,,leo hii hl tatzo wala lisingekuwepo,ila usijar binamu tutalimaza wala usijar,,ras simba yupo kwa kazi hyo
Unaharibu kila pande ss...habari ninayo, hapa nimepewa dikishoanri kubwa balaa, nimeanza kuongea hawayuu sijui ilavyuu na mengine mengi. Hawa ndugu zangu ningendako na Tumosa sijajua mpango wao kwangu, yaani najiona nimeanza kukonda kwa kuongea kiinglishi
Nalia mimi...kwa ajili yako pekee na ujue nini, usisikilize kabisa maneno ya wabaya wangu. Burudika and happy almost furahiday
...usiwasikilize wenye roho ya korosho za Lindi, hapa tulia kula kunywa bill yote kwako
Hakuna tumaini kbs yani...ijumaa, ondoa presha, tumaini limerejea baada ya safari china kuvunjika
We ndo wakukichangamsha ssMbona kijiwe hakichangamki
@Shunie umzima mama.?...sijasahau,lakini nilijua umeshasamehe maana kwa namna ulivyowagonganisha watatu bila aunt yangu kujua niliamini sasa utatulia
Anko ameshanijulisha,,namfahamu ss
Fitina zake huyu binamu ...alafu sijakusalimia njoo pm nikwambiee
Unanichonganishaa na ndugu yangu kanisa mtoto wa dada
fitina..Pm ni wapi anko.?
Nisalimie tafadhali,,kuniambia itakua uchochezi naskia
Ndio sikuelewiiiimimi huyu nachonganisha tena.?
Shunie kuamka now wakat kuna kimvuaa ? Mwendo wa kojooo^ooShunie magazeti na Je wajua.
Mama wa urembo jee.?
Mkuje mtuletee darsa
Shunie kuamka now wakat kuna kimvuaa ? Mwendo wa kojooo^oo